Sunday, September 15, 2019

YOPE YATIKISA YOU TUBE


Video ya YOPE iliyofanywa kwa Mara ya kwanza na Innos 'B na baadaye kuwekwa remix na Innos 'B akimshirikisha Diamond Platinum imekaa nambari moja kwenye mtandao wa YouTube kwa mda mrefu sasa...kama bado hujaiangalia video hii IPO hapo juu ..cha kufanya ni kubofya tu...ujipatie burudani tamu.

No comments:

Post a Comment

BODI YA MIKOPO KUTANGAZA MAJINA RASMI

Dar es Salaam.  The Higher Education Loan Board (HESLB) has said October 15 and 17, 2019 will be announced the names of students who will...