Kuchagua watu wa kuwa nao karibu ambao
Ndiyo marafiki..RAFIKI ni MTU pekee ambaye
Anaweza akakufanya ufikiri na utende kama
Anavyo tenda na hata kimuonekano.
Hii ni kwasababu Rafiki ndiye anayetumia mda mwingi kuwa nawe hivyo ni lazima kuna mda
Utafanya afanyavyo na utakuwa kama alivyo
KUWA MAKINI KATIKA KUCHAGUA MARAFIKI.
Kwa mfano mwanafunzi akiwa na urafiki na MTU anaye fanya vyema darasani
Pia huweza kufanya vyema ama huweza kumbadili anayefanya vyema hadi kwenye kufanya vibaya.
No comments:
Post a Comment