Klabu ya simba sc ,imepeleka wachezaji nane
Timu ya Taifa Kwenye maandalizi ya kufuzu CHAN ambapo Taifa stars
Itakutana na Sudan,.wachezaji hao ni Nyoni,Mohammed Hussein, Gadiel Mbaga,Haruna shamte,
Jonas Mkude,Hasan Dilunga,Mzamiru Yasini
Pamoja na super sub wa simba MIRAJI ATHUMANI
huyu amekuwa na desturi ya kufumania nyavu
Kila anapotokea benchi kwa mfano katika
Michezo ambayo simba imecheza (2) Miraji amefunga katika mechi zote akitokea benchi.
No comments:
Post a Comment