Download wimbo wa Mario_"Anyinya" audio.
Hapa chini.
Download
Usisahau pia kuacha maoni yako hapo chini kuna fomu utajaza ama email yako uwe unapata taarifa moja kwa moja
Tuesday, September 24, 2019
Monday, September 16, 2019
SUPER SUB SIMBA AITWA TAIFA STARS.
Klabu ya simba sc ,imepeleka wachezaji nane
Timu ya Taifa Kwenye maandalizi ya kufuzu CHAN ambapo Taifa stars
Itakutana na Sudan,.wachezaji hao ni Nyoni,Mohammed Hussein, Gadiel Mbaga,Haruna shamte,
Jonas Mkude,Hasan Dilunga,Mzamiru Yasini
Pamoja na super sub wa simba MIRAJI ATHUMANI
huyu amekuwa na desturi ya kufumania nyavu
Kila anapotokea benchi kwa mfano katika
Michezo ambayo simba imecheza (2) Miraji amefunga katika mechi zote akitokea benchi.
Sunday, September 15, 2019
YOPE YATIKISA YOU TUBE
Video ya YOPE iliyofanywa kwa Mara ya kwanza na Innos 'B na baadaye kuwekwa remix na Innos 'B akimshirikisha Diamond Platinum imekaa nambari moja kwenye mtandao wa YouTube kwa mda mrefu sasa...kama bado hujaiangalia video hii IPO hapo juu ..cha kufanya ni kubofya tu...ujipatie burudani tamu.
WANAFUNZI WAONGOZA KWA UDANGANYIFU WAKIWA MASHULENI
Kuna mambo mbali mbali yanawafanya wanafunzu kuwa wadanganyifu kwa wazazi wao pindi wanapokuwa shuleni,kwamfano mambo kama vile tamaa ya vitu mbali mbali ams kutamani kuishi maisha ya wanafunzi ambao wazazi wao ni matajiri.hebu angalia video hiyo ujionee mwenyewe.
Subscribe to:
Posts (Atom)
BODI YA MIKOPO KUTANGAZA MAJINA RASMI
Dar es Salaam. The Higher Education Loan Board (HESLB) has said October 15 and 17, 2019 will be announced the names of students who will...

-
Download wimbo mpya kutoka kwa Rayvanny akimshirikisha Ney Lee Down load hapa.
-
Download wimbo wa Mario_"Anyinya" audio. Hapa chini. Download Usisahau pia kuacha maoni ya...
-
Video ya YOPE iliyofanywa kwa Mara ya kwanza na Innos 'B na baadaye kuwekwa remix na Innos 'B akimshirikisha Diamond Platinum ime...